Michael Jackson, Bob Marley waweka rekodi ya kuingiza mkwanja mrefu zaidi kwa mwaka 2018

Aliyekuwa msanii nguli wa muziki wa Pop Duniani, Marehemu Michael Jackson ametajwa kuwa ndiye mtu aliyefariki ambaye ameingiza mkwanja mrefu zaidi duniani.